Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa

Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa
kiungo : Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa

soma pia


Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa

Na Agness Francis, Globu ya Jamii. 

King Cash and Isbah Entertainment inawaletea burudani kabambe wakazi wa kanda ya Ziwa Tamasha la Sports Music Festival 2018 katika kusherehekea sikuku ya Idd.

Tamasha hilo la aina yake litakalosindikizwa na wasanii mbalimbali wa bongo  fleva hapa nchini.

Wasanii hao watakao tumbuiza siku hizo ni Mbunge wa Mikumi Profesa Jay, Juma Nature, Young Killer, Roma, Stamina, Fid Q, Bill Nas, Umber Lulu, Snura, Msaga Sumu, G Nako, Young Dee, Coyo Mc, Fany, B-Gwai pamoja na mkali wa singeli Shalo Mwamba.

Siku ya Idd Mosi wataanzia Geita katika viwanjwa vya Infotech ambapo kiingilio kwa wakubwa ni shilingi 5000 na watoto ni 3000.

Ambapo Idd pili watatapiga hodi Mkoani Mwanza katika viwanja vya CCM kirumba,na baada ya hapo watamalizia burudani Mjini Kahama pale Uwanja wa Taifa kwa kiingilio cha Shilingi  10000 wakubwa,huki watoto wakilipia mlangoni 5000.

Tamasha  hilo  litaanza saa 4 asubuhi mpaka majogoo ambapo pia watashuhudia michezo ya piki piki na magari yakifanya maajabu yake ya dunia.


Hivyo makala Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa

yaani makala yote Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tamasha-la-sports-music-festval-2018.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa"

Post a Comment