title : SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI
kiungo : SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI
SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akisisitiza umuhimu wa watanzania kuvumiliana kwenye masuala ya dini, alipopata nafasi ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akielezea umuhimu wa vijana kuzingatia elimu ya dini na elimu dunia ili waweze kujenga uzalendo na maadili mema yatakayolisaidia taifa kupiga hatua kimaendeleo, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani.
Mmoja wa vijana walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, akipokea zawadi ya fedha taslimu kutoka meza kuu baada ya kuonesha umahili mkubwa wa kuhifadhi Qur’an kwenye mashindano yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Baadhi ya Wabunge na viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma, wakifuatilia matukio ya mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Falesy Mohamed Kibassa (mwenye miwani)pamoja na viongozi wengine, wakishuhudia mashindano ya ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh n Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/spika-job-ndugai-awataka-viongozi-wa.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI"
Post a Comment