title : SINGIDA UNITED YAMNASA NYOTA KUTOKA TZ PRISONS
kiungo : SINGIDA UNITED YAMNASA NYOTA KUTOKA TZ PRISONS
SINGIDA UNITED YAMNASA NYOTA KUTOKA TZ PRISONS
NA NOEL RUKANUGA
Klabu ya Singida United imeingia mkataba wa miaka mitatu na kiungo, Kazungu Mashauri, aliyekuwa akiichezea Tanzania Prisons ya Mbeya.
Usajili huo umekuja ikiwa ni siku kadhaa zimepita klabu hiyo itoke kumtangaza aliyekuwa mshambuliaji wa Mbao FC, Habibu Kyombo.
Kazungu amejiunga na Singida ambayo ipo mjini Nakuru iijiandaa na mchezo wa michuano ya SportPesa Super Cup dhidi ya AFC Leopards.
Singida itakuwa na kibarua hicho ikiwa pamoja na Simba kama timu pekee zilizosalia kwenye mashindano hayo baada yaYanga na JKU ya Zanzibar kutolewa.
Hivyo makala SINGIDA UNITED YAMNASA NYOTA KUTOKA TZ PRISONS
yaani makala yote SINGIDA UNITED YAMNASA NYOTA KUTOKA TZ PRISONS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UNITED YAMNASA NYOTA KUTOKA TZ PRISONS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/singida-united-yamnasa-nyota-kutoka-tz.html
0 Response to "SINGIDA UNITED YAMNASA NYOTA KUTOKA TZ PRISONS"
Post a Comment