RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC.

RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC.
kiungo : RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC.

soma pia


RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC.

 MWAMBA WA HABARI
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM.
Taasisi ya DARUL IRSHAID ISLAMIC CENTER TANZANIA imetoa msaada wa tende Cotena moja kwa ajili ya kuwapatia waitaji katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu.

Akizungumza katika hafla ya kukabidhi tende hizo  kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, Mwenyekiti wa Taasisi ya hiyo, Arif Yusuf Abdurahaman, amesema kuwa taasisi hiyo imekuwa ikitoa msaada wa vitu mbalimbali kwa ajili ya kuwapa waitaji.


Amesema kuwa kipindi cha mwezi ramadhani wameamua kutoa msaada wa tende kwa ajili ya kuwasaidia waitaji ambao wapo katika mfungo katika mwezi huu wa toba.

"Sasa tumeamua kutoa msaada wa tende kwani tuaamini zitakwenda kuwasaidia waitaji katika kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani" amesema Abdurahamani.

Kwa upande Mhe. Makonda, ameishukuru taasisi hiyo kwa msaada wa tende, kwani anaamini itakuwa msaada kwa waitaji katika kipindi hiki cha mwezi wa toba.

Amesema kuwa taasisi ya Islamic inapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kuendelea kutoa masaada kwa waitaji.

"Kwa msaada huu ndugu zangu ambao wapo kwenye mfungo wa ramadhani watafarijika sana" amesema Mhe. Makonda.

Hata hivyo amewataka wakidada kuendelea kuvaa mavazi ya heshima katika kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani.






Hivyo makala RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC.

yaani makala yote RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rc-makonda-apokea-msaada-wa-tende.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MAKONDA APOKEA MSAADA WA TENDE KUTOKA TAASISI YA ISLAMIIC."

Post a Comment