NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO

NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO
kiungo : NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO

soma pia


NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO


MFUKO wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) umewashauri wajasiriamali nchini kujiunga kwenye vikundi ili kuweza kutambuliwa na kupata mikopo.

Ushauri huo umetolewa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma Rehema Chuma wakati alipokuwa akitoa mada yake kwenye Kongamano la Wajasiriamali lilifanyika jijini Dodoma.

Chuma amesema wajasiriamali hao wakiunda na kuvisajili vikundi vyao watapata mikopo kutoka NSSF ili kukuza biashara zao.Amesema mfuko huo hautaweza kumsaidia mwananchi mmoja mmoja kwani masharti ya mikopo itatolewa kupitia vikundi au Saccos mbalimbali zilizosajiliwa.

“Lengo la mikopo hii ni kuunga jitihada za serikali katika kuwainua wananchi wa kipato cha chini kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025,”amesema.Pamoja na kupata mikopo wajasiriamali hao, watapata fursa ya kujiunga na pia na kuchangia michango katika mfuko huo jambo ambalo litawawezesha wanachama kunufaika na mafao yanayotolewa na NSSF.

Alitaja baadhi ya mafao hayo kuwa ni fao la Afya linalomwezesha mwanachama aliyejiunga kupata huduma za afya na mafao mengine kusaidiwa wakati wa majanga ya ajali au msiba.Kwa upande wake mgeni rasmi katika kongamano hilo Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Ajira na Vijana Anthony Mavunde amewataka wajasiriamali hao kuwa waaminifu katika kuchukua na kurejesha mikopo hiyo ili na waweze kukopeshwa.

Meneja wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya NSSF Mkoa wa Dodoma Rehema Chuma akionesha kadi ya uanachama wa mfuko huo alipokuwa akizungumza na wajasirimali kwenye kongamano lililofanyika ukumbi wa vijana mwisho wa wiki Jijini Dodoma 
Meneja wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya NSSF Mkoa wa Dodoma Rehema Chuma akizungumza na wajasiriamali katika kongamano lililofanyika ukumbi wa vijana mwisho wa wiki Jijini Dodoma 
Wajasiriamali wakiwa kwenye kongamano uliofanyika jana Jijini Dodoma ambalo liliandaliwa na Mfuko wa NSSF.


Hivyo makala NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO

yaani makala yote NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/nssf-dodoma-yatoa-njia-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO"

Post a Comment