NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.

NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
kiungo : NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.

soma pia


NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji NBC Bw.Theobald Sabi wakati alipofika Zanzibar Beach Resort jana katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC hapa Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akichukua chakula cha futari iliyoandaliwa na  Benki ya NBC hapa Zanzibar katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort jana (kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakichukua chakula cha futari iliyoandaliwa na  Benki ya NBC hapa Zanzibar katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Wateja wa Benki ya NBC hapa Zanzibar walioalikwa katika futari iliyoandaliwa jana katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha na Uongozi wa Benki ya NBC mara baada ya Futari waliyoiandaa jana katika
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,akiwepo na 
Mkurugenzi wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein(wa tano kushoto
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi wa Benki ya NBC mara baada ya Futari waliyoiandaa jana katika 
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,hafla iliyohudhuriwa na Viongozi mbali mbali na Wananchi
,[Picha na Ikulu] 02/06/2018.


Hivyo makala NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.

yaani makala yote NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/nbc-yaanda-futari-kwa-wadau-wao.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NBC Yaanda Futari kwa Wadau Wao Zanzibar Katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini."

Post a Comment