MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU.

MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU.
kiungo : MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU.

soma pia


MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Mtanzania Peter .W. Ching'ole ambaye ni mwanazuoni na mtafiti wa masuala mbalimbali ya kijamii akiwa amehitimu shahada ya uzamili (Master's Degree) amemuandikia kitabu cha maisha ya soka ya mchezaji wa kimataifa anayekipiga nchini Ubelgiji Mbwana Samatta.

Ching'ole ameandika kitabu hicho kikiwa kinaelezewa maisha ya Samatta toka kuanza kwake kujihusisha na mpira mpaka hapa alipo sasa hivi akisaidiwa na kupata taarifa mbalimbali kutoka kwa mzazi wake Ally Samatta.

Kitabu hicho Kilichopewa jina la HUYU NDIYE MBWANA SAMATTA kimeweza kuonyesha Samatta akiwa na umri wa miezi tisa hadi ahapa alipo sasa hivi na kujua mwanzo wa maisha ya nyota huyo, wapi alipokulia ,familia yake, elimu aliyoipata na jinsi alivyoanza kucheza soka la mtaani mpaka soka la ushindani ambapo usajili wake kutoka African Lyon ulivyoweza kutikisa na kuzua utata mkubwa.

Ching'ole katika kitabu hicho ameelezea pia soka la kimataifa la nyota huyo, tuzo yake ya mchezajo bora wa Afrika, mafanikio ya tuzo alizopata pamoja na ubalozi wa kudumu wa maalbino na bodi ya utalii.

Kwenye kitabu hicho chenye kurasa 5t, utaona pia maisha ya soka ya baba yake na Samatta, Mzee Ally Samatta na picha mbalimbali za matukio yake ya kisoka ya zamani ikiwemo na picha za Mbwana tokea akiwa anacheza soka la mtaani mpaka hapa alipo sasa.



Hivyo makala MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU.

yaani makala yote MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mtanzania-amuandikia-samatta-kitabu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU."

Post a Comment