Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam
kiungo : Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam

soma pia


Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam

Mwambawahabari


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu


Hassan, akisisitiza jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa

ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar

es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili

mabadiliko ya tabianchi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, Alvaro

Rodriguez akizungumza na wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta

wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es

Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili

mabadiliko ya tabianchi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January

Makamba, akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa

ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar

es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili

mabadiliko ya tabianchi.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati wa

sherehe za uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya

Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa

Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu

Hassan, akikagua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack

Obama jijini Dar es Salaam mara baada ya kuuzindua mapema hii leo, ukuta huo

umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Sehemu ya kupumzika iliyojengwa katika ukuta wa ufukwe wa bahari ya Hindi

uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo

umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.

Msanii Beka Fleva akitoa burudani kwa wananchi wakati wa sherehe za

uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack

Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia

wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa

Tanzania, Samia Suluhu Hassan,(hayupo pichani) wakati wa sherehe za uzinduzi wa

ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar

es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili

mabadiliko ya tabianchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,

akiwapungia wananchi mara baada ya kuzindua ukuta wa ufukwe wa bahari

uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo

umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.

Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO 


Hivyo makala Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam

yaani makala yote Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam"

Post a Comment