MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP

MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP
kiungo : MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP

soma pia


MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, jalada halisi la kesi inayowakabili vigogo wawili wa uthamini wa madini ya almasi wa Serikali lipo kwa Mkurugenzi wa mashtaka ( DPP).

Wakili wa Serikali Esterzia Wilson ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri wakati kesi hiyo ilipokuja mahakamani hapo kwa kutajwa.Amedai kesi ilipangwa kwa ajili ya kutajwa, upelelezi bado haujakamilika na jalada halisi lipo kwa DPP, hivyo akaomba tarehe nyingine ya kutajwa.

Kutokana na taarifa hiyo, Hakimu Mashauri aliiahirisha kesi hiyo hadi Juni 18 mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.Washtakiwa katika kesi hiyo ni Mkurugenzi wa Uthaminishaji Almasi na Vito Tanzania (Tansort) Archard Kalugendo na mthamini almasi wa serikali, Edward Rweyemamu ambao ni waajiriwa wa Wizara ya Nishati na Madini.

Wote wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wakidaiwa kuisababishia Serikali hasara ya Sh.bilioni 2.4. Kalugendo na Rweyemamu wanasota rumande kutokana na DPP kuzuia dhamana zao.Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, washtakiwa wanakabilkiwa na ashtaka la kuisababishia serikali hasara ya Sh. 2,486,397,982.54 ambapo wanadaiwa kutenda kosa hilo kati ya Agosti 25 na 31, mwaka 2017 katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Dar es Salaam na Shinyanga.

Washtakiwa hao wanadaiwa kwa pamoja na kwa vitendo vyao wakiwa wathaminishaji wa almasi wa Serikali na waajiriwa wa wizara hiyo waliisababishia Serikali hasara ya Dola za Marekani 1,118,291.43 ambazo ni sawa na Sh.2,486,397,9.


Hivyo makala MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP

yaani makala yote MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mahakama-yaelezwa-jalada-halisi-kesi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAKAMA YAELEZWA JALADA HALISI KESI VIGOGO WA UTHAMINI MADINI NA ALMASI WA SERIKALI LIPO KWA DPP"

Post a Comment