title : KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
kiungo : KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2018.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,Joseph Kakunda , Bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe (kushoto ) na Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma Juni 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
yaani makala yote KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/kutoka-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
0 Response to "KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO"
Post a Comment