JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI.

JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI.
kiungo : JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI.

soma pia


JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Selemani Jafo amezitaka Taasisi za serikali zinazo shughulika na masuala ya ujenzi kuwa kinara kwa ubora wa kazi zinazotekelezwa na taasisi hizo.

 Jafo ameyasema hayo leo alipokuwa akikagua ujenzi wa jengo la halmashauri ya Makambako mkoani Njombe linalo jengwa na kampuni ya  MZINGA CORPORATION.

Katika ukaguzi huo, jafo ameagiza kazi hiyo ifanyike kwa ubora wa hali ya juu ili kuliwezesha jengo hilo kudumu kwa miaka mingi. 

Waziri Jafo kabla ya kukagua ujenzi huo amepata fursa ya kutembelea shule ya sekondari Makambako ambapo serikali imetoa sh.Million 150 kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili. 

Akiwa katika shule hiyo, Waziri Jafo amefurahishwa na kazi iliyofanywa na halmashauri kupitia kamati ya ujenzi ya shule ambapo mabweni hayo mawili yamekamilika kwa kutumia "Force account'.

Aidha Waziri Jafo amempongeza Mbunge wa Makambako Deo Sanga kwa jitihada kubwa anayo ifanya kuwaletea maendeleo wananchi wake wa Makambako.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akiwa na Mbunge wa Jimbo la Makambako Deo Sanga pamoja na viongozi wengine wakiwa katika ukaguzi wa ofisi za halmashauri ya mji wa makambako.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo  akiwapongeza viongozi wa Mji wa Makambako kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa mabweni ya wasichana katika sekondari ya makambako.
 Majengo ya halmashauri ya mji wa makambako yanayo endelea kujengwa.
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mhe. Deo Sanga pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Jombe.  Mhe. Lucy Msafiri wakifurahia jambo wakati wa Ziara ya waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo Jimboni humo.


Hivyo makala JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI.

yaani makala yote JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/jafo-azitaka-taasisi-za-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA UBORA KWENYE KAZI."

Post a Comment