BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA

BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA
kiungo : BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA

soma pia


BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA

BODI ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Meja Jenerali Mstaafu Hamis Semfuko imefanya ziara ya kujionea shughuli za uhifadhi na juhudi za kudhibiti wa vitendo vya ujangiri zinazodaiwa kufanywa na mwekezaji Mwiba Holding aliyepo Pori la Akiba Maswa lililopo wilayani Meatu mkoani Simiyu. 

Mbali ya kujionea vifaa vya kisasa vya kukabiliana na ujangiri anavyotumia mwekezaji Mwiba Holding, Mwenyekiti wa Bodi akiwa ameongozana na wajumbe wake pia alitembelea kambi ya askari wa doria na kujionea changamoto na mafanikio kadhaa. 

Akizungumza na askari hao amewataka kufanya kazi kwa bidii kwani tayari Bodi yake imefanyia uamuzi baadhi ya masuala ili kuruhusu mabadiliko ya kimfumo wa uendeshaji Mamlaka hiyo. 
 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akizungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Bariadi juzi kuhusu umuhimu uhifadhi kupitia Pori ya Akiba Maswa linavyochangia maendeleo hususani sekta ya elimu na afya kwa wananchi
 Mkuu wa Shule ya Sekondari Simiyu Paul Susu akiwaonyesha maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA) na maofisa Elimu Mkoa shughuli za ufyatuaji tofali ambao fedha zake zilichangiwa na TAWA kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na ofisi za shule ya vipaji maalumu ya  Sekondari ya Ufundi Simiyu inayojengwa mjini Bariadi.
 Meneja wa Pori la Akiba Maswa Lusato Masinde akiwaonyesha wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) pichani mazingira yalipo kambi ya askari wanaoshiriki kufanya doria kwenye pori hilo upande wa Kijiji cha Butuli wilayani Meatu mkoani Simiyu.

 Mkurugenzi wa Utalii Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA), Iman Nkui akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bodi ya mamlaka hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wake mwenye koti jeusi Meja Jenerali Mstaafu Hamis Semfuko.
 Mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA), Luteni Jenerali Mstaafu Samweli Ndomba akizungumza na askari waliopo Pori la Akiba Maswa wilayani Meatu mkoani Simiyu kuhusu kujituma na kuibenda kazi yao.
 Mkurugenzi wa Utalii Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA), Iman Nkui akitoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo wakati Mwenyekiti wa Bodi ya TAWA Meja Jenerali alipotembelea na kujionea changamoto zinazowakabili akari katika Pori la Akiba Maswa lililopo wilaani Meatu mkoani Smiyu, aliongozana na wajumbe wa bodi hiyo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA),  Meja Jenerali Hamis Semfuko akizungumza na akari wa Pori la Akiba Maswa lililopo wilayani Meatu mkoani Simiyu, kushoto kwake ni Mjumbe wa Bodi hiyo Luteni Jenerali Mstaafu Samweli Ndomba na pembeni ni Meneja wa pori hilo Lusato Masinde.


Hivyo makala BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA

yaani makala yote BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/bodi-ya-mamlaka-ya-usimamizi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI UJANGIRI PORI LA AKIBA MASWA"

Post a Comment