Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar

Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar
kiungo : Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar

soma pia


Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar

 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem akiongozana na Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wakiwasili kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam kwa Iftar iliyoandaliwa na Balozi huyo kwa heshima ya Dkt. Waliyd Shuaib Msaidizi Waziri wa Wakfu nchini Kuwait anayeshughulika na maswala ya Quran Tukufu.
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem akizungumza machache katika Iftar aliyoiandaa kwa wadeni mbalimbali akiwemo Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi ikiwa kwa heshima ya Dkt. Waliyd Shuaib Msaidizi Waziri wa Wakfu nchini Kuwait anayeshughulika na maswala ya Quran Tukufu.
 Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya frame yenye nembo ya Kuwait kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem baada ya hafla ya Iftar aliyoiandaa kwa wageni mbalimbali waliofika. Kushoto ni Dkt. Waliyd Shuaib Msaidizi Waziri wa Wakfu nchini Kuwait anayeshughulika na maswala ya Quran Tukufu na Kulia ni Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana.
 Baadhi ya wageni wakipata Iftar iliyoandaliwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem.
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem akisalimiana na baadhi ya wageni wake waliofika kwenye Iftar aliyoiandaa kwa heshima ya Dkt. Waliyd Shuaib Msaidizi Waziri wa Wakfu nchini Kuwait anayeshughulika na maswala ya Quran Tukufu.
picha ya pamoja.


Hivyo makala Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar

yaani makala yote Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/balozi-wa-kuwait-nchini-aanda-iftar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Balozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar"

Post a Comment