BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA

BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA
kiungo : BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA

soma pia


BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA



Na. John Luhende
Mwambawahabari
Mradi wa chuo Kikuu cha kiislamu kwa ufadhili wa SaudiaArabia,ahadi hii ili tolewa na Waziri wa Dini kutoka Saudia Arabian, mwakajana decent 27/2017 Mufti mkuu wa Tanzania alienda kuhudhuria mkutano uliofanyika Tarehe 29/December /2017.

Akizungumza na waandishi wa habarikwa niaba ya Mufti kuu wa Tanzania Mjumbe wa baraza la Waislamu Bakwata Khamis Mataka , Amesema
katika mkutano ule ndipo   alizungumza naye juu ya haja ya Tanzania kuwa na chuo Kikuu na aka pewa Proposal, na baada ya kurudi nchi Mufti akalieleza hilo suala kama waliyoifikia zungumza na Waziri wa Mambo ya Dini.

Na alipokuja katika mashindano ya kusoma  Quran, kilicho fanyika ni kulitangazatu jambo hilo lakini hali kuanzia pale.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni kwa Waislam Scaba scuba alitoa eneo hilo na Bakwata pia ina he kali 100, kwahiyo utaratibu unafanyika kufahamu kama chuo kitajengwa Tanga ama Dar es Salaam.

Kwaniaba ya baraza amemshukuru  Waziri huyo kutoka Saudia Arabian kwa ufadhili huo.

Pamoja na hayo amesema swala ya Idd na Baraza  la Idd itafanyika kitaifa jijini Dar es Salaam, katika uwanja wa Mnazi Mmoja.

Aidha maandalizi ya Hija hapo awali taasisi 16 zilitangazwa kusafirisha Mahali, lakini mpaka sasa taasisi 11pekee ndo zimekamilisha taratibu zote nazo ni kama ifuatavyo:-
Alhusna Haj Trust, Masjid  Adil, Shamsu-I- Maarifa  kheri, Tanzania Muslimdevelopment Association, Peace travelland Tours Limited , Baraza kuu la waislam Tanzania,Tanzania  Muslim Hajj , Zam zamu Centre, Ahlu Daawa Hajj travelling Agency , Shifa Haji group, Ibn taymiyyah salaf Foundation Hajj and Umrah..

Harambee ya uimarishaji wa Baraza, Bakwata imekuwa ikika biliwa na changamoto za Kifedha muda mrefu, kwa sasa imeunda Kamati na tayari imesha tembelea mikoa mbalimbali na kuhakiki mali za baraza la Waislamu na hatumbalimbali zimechukuliwa,

Kamati imeungua katika mkoa fulani hawana akaunti na hakijulikani wanachi fadhili wapi mapato yao.

Mapato yanayo Patikana hayawezi kukidhi matumizi ya barabaraza, kwa mfumo wa uongozi uliokuwepo ilikuwa ni michango ya Waislam, kwa sasa msikiti yote itachangia  mapato, michango hiyo itakuwa kati ya makundi matatu kuanzia shilingi 10,000 hadi 30,000na kila mwezi kutakuwa na Ijumaa ya nne ya mwezi itakuwa ya harambee ya kuchangia baraza ili kupunguza changamoto ikiwemo kuwalipa watumishi wa Baraza.

Amesema pia katika mabadiliko ya kimfumo baraza liko tayari kupokea  mapendekezo na ushauri katika kupata mapato.

"Hili suala la harambee ni jambo la majaribio kuona Waislamu wote wanachangia baraza lao ambalo ni taasisi  ya Umma ni tofauti na taasisi zingine ndiyo maana hata viongozi wake wanachaguliwa na Waislamu wote na si watu maalumupekee wanaoshiriki,"AAalisema.

Kwamfano walijitolea 334 kila siku ambayo ni sawa na shilingi 10,000tu kwa mwezi na tuka pata Waislamu 1000,000tutakuwa tumekuja ya pesa kama bilion hivi ambapo kwa kwa mwaka ya weza kuwa bilion hadi 100.



Hivyo makala BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA

yaani makala yote BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/bakwata-yatoa-ufafanuzi-kuhusu-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BAKWATA YATOA UFAFANUZI KUHUSU UJENZI WA CHUOKIKUU CHA KIISLAMU NCHINI UTAKAOFADHILIWA NA SAUDIA -ARABIA"

Post a Comment