WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.
kiungo : WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

soma pia


WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maedeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo ameliomba Bunge kujadili na kuopitisha kiasi cha shilingi 73,071,273,632 iloi wizara iweze kutumiza majukumu yake.
 Waziri, Lukuvi ameliambia Bunge kuwa katika mwaka wa fedha wa 2018/19 wizara inataraji kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 120 kutokana na kodi, tozo, na ada mbalimbali za zinazotokana na shughuli za sekta ya ardhi kwa kutekeleza mikakati ambayo wamejiwekea. 
 Msemaji wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili na Utalii, Halima Bulembo akisoma taarifa ya Kamati Bungeni leo.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akijadili jambo na Naibu Waziri wake, Dk. Angelina Mabula Bungeni leo. 
 Wabunge wakiwa Bungeni jijini Dodoma leo .



Hivyo makala WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

yaani makala yote WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wizara-ya-ardhi-yaomba-bilioni-73-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019."

Post a Comment