title : Waziri ea Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar es Salaam
kiungo : Waziri ea Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar es Salaam
Waziri ea Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF),Dk. Tausi Kida, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi hiyo wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Profesa Joseph Stiglitz akitoa mada katika Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) waki shirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam
Washiriki wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini, wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mkutano huo unaofanyika leo jijini Dar es Salaam. .Picha na Abubakari Akida.
Hivyo makala Waziri ea Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Waziri ea Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri ea Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/waziri-ea-fedha-na-mipango-tanzania.html
0 Response to "Waziri ea Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar es Salaam"
Post a Comment