title : WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA
kiungo : WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA
WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Mboni Mgaza akifafanua jambo kuhusu masuala ya kijinsia kwa wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kikao cha kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module” kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03, 2018.
Mwezeshaji wa Kikao Bw.Clarence Kipobota akitoa mwelekeo wa uaandaaji wa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module” katika mchakato wa kuandaa kitini hicho kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 katika kikao kati ya Serikali na wadau kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03,2018 .
Mwakilishi wa AMREF Health Africa Bi. Sophia Kimaro akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa kitini maalaum cha masuala ya Jinsia “Gender Module” katika kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini hicho kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03,2018.
Mwakilishi wa TGNP Mtandao Bi. Agnes Lukanga akitoa maoni kuhusu kuzingatia masuala ya unyanyasaji kwa jinsi zote katika kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module” kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03,2018.
Mchumi kutoka Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Seto Ojwando akitoa maoni kuhusu uzingatiwa wa masuala ya Kisera katika uaandaji wa kitini maalum cha masuala ya Jinsia “Gender Module” katika kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini hicho kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03,2018.
Baadhi ya wadau na wataalamu wa masuala ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module” kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wa Mwaka 2017/18-2021/22 kinachoendelea mjini Morogoro leo Mei 03, 2018.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW
Hivyo makala WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA
yaani makala yote WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wadau-wa-masuala-ya-jinsia-waendeleza.html
0 Response to "WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA"
Post a Comment