UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO

UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO
kiungo : UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO

soma pia


UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO



Na Jumia Food Tanzania

Katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Jumia Food kwa kushirikiana na wateja wake inaendesha kampeni ya kusaidia kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Kampuni hiyo inayojihusisha na huduma ya chakula kutoka migahawa mbalimbali jijini Dar es Salaam kwa njia ya mtandao, imeona ni vema kuwashirikisha wateja wake kwani wao ndio wadau wake wakubwa.

Kampeni hiyo inayokwenda kwa jina la ‘STANDY BY ME,’ kwa kiasi kikubwa inawategemea wateja kwa sababu kwa kila huduma ya chakula watayoifanya kupitia mtandao wa Jumia Food itakwenda moja kwa moja kumsaidia mtoto mmoja kituoni hapo.


Akifafanua namna wateja wanavyoweza kuchangia, Meneja Uhusiano wa Umma wa Jumia Food Tanzania, Kijanga Geofrey, amesema kuwa, “ni rahisi kushiriki kwenye kampeni hii kwani hatua za kufuata ni zilezile za kawaida anazozifanya mteja anapoagiza chakula. Kinachobadilika ni pale anapotaka kukamilisha huduma yake katika sehemu ya malipo itampasa atumie nenosiri 'ASANTE.’


Baada ya kuweka nenosiri hilo mteja atakuwa amejihakikishia kuchangia mtoto mmoja wa kituo cha Maunga. Kitakachofanyika kwa upande wa Jumia Food ni kuhesabu idadi ya huduma zote za kuagiza chakula zilizofanywa kwa kutumia neno ‘ASANTE.’ Idadi hiyo ndiyo itakayobainisha kuwa ni wateja wangapi wamehamasika kushiriki katika kampeni hiyo.
“Ningependa kuwatoa wasiwasi wateja wetu kwamba watapata huduma yao ya chakula kama siku zote, huku Jumia Food ikipeleka sehemu ya mchango wao kuwasaidia watoto hao. Kwa hiyo, sisi pia tutachangia kiasi fulani ambacho baada ya kukusanywa kitatumika kununulia mahitaji mbalimbali ambayo yatawasilishwa katika kituo cha Maunga. Ningependa kuchukua fursa hii kuwataka wateja wetu na watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi zaidi ili kuwawezesha watoto hawa kupata mahitaji yao ya msingi,” alihitimisha Geofrey.

Kama haujawahi kutumia huduma za Jumia Food, ni rahisi kufanya hivyo. Unaweza kuagiza huduma ya chakula kwa kuingia kwenye tovuti yao ambayo ni www.food.jumia.co.tz au kupitia App yao inayopatikana kwenye simu ya mkononi. Baada ya kuingia, jaza jina la eneo ulipo, itakuja orodha ya migahawa kadhaa iliyo karibu nawe pamoja na aina ya vyakula unavyohitaji, kamilisha huduma kwa kuhakikisha gharama ya huduma pamoja na kujaza taarifa zako binafsi ambazo zitatumika kuletewa chakula na muwakilishi kutoka Jumia Food.  

Huduma za Jumia Food zinaweza kutumiwa na mtu wa kipato chochote kwa sababu unaweza kuagiza chakula kuanzia shilingi 500 na kuletewa mpaka mlangoni kwako.


Hivyo makala UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO

yaani makala yote UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/umia-food-yashirikiana-na-wateja.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO"

Post a Comment