title : TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI
kiungo : TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI
TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI
Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Afisi ya Zanzibar Abdallah Seif akiwasilisha mada ya Sheria za Kodi zinazoisimamiwa na Mamlaka hiyo katika mafunzo ya waandishi wa Habari ya kuwajengea uelewa wa Kodi yaliyofanyika Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Maruhubi.
Waandishi wa Habari walioshiriki mafunzo ya Sheria za Kodi zinazosimamiwa na TRA wakimsikiliza Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi wa Mamlaka hiyo (hayupo pichani) yaliyofanyika Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Maruhubi Mjini Mjini Zanzibar.
Meneja Msaidizi wa Ukaguzi wa Kodi wa TRA Afisi ya Zanzibar Mbarouk Khalid Ussi akijibu masuala ya waandishi wa Habari katika mafunzo ya kuwajengea uelewa wa Sheria za Kodi zinazosimamiwa na Mamlaka hiyo katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Maruhubi. PICHA NA RAMADHANI ALI - MAELEZO ZANZIBA
Hivyo makala TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI
yaani makala yote TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/tra-zanzibar-yatoa-mafunzo-kwa.html
0 Response to "TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI"
Post a Comment