title : Tanzania Health Summit yachangia shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto mmoja
kiungo : Tanzania Health Summit yachangia shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto mmoja
Tanzania Health Summit yachangia shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto mmoja
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wa Tanzania Health Summit wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni moja fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto Mbaruku Kabwe aliyelazwa JKCI kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni mama wa mtoto Asha Omary mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Rais wa Tanzania Health Summit Dkt. Omary Chillo akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi hundi ya shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto Mbaruku Kabwe aliyelazwa katika Taasisi hiyo kwa ajili ya matibabu. Kila mwaka Tanzania Health Summit wanaandaa mashindano ya Heart Marathon lengo likiwa ni kusaidia watoto wanaosumbuliwa na magonjwa yasiyoambukiza ukiwemo ugonjwa wa moyo.Picha na JKCI
Hivyo makala Tanzania Health Summit yachangia shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto mmoja
yaani makala yote Tanzania Health Summit yachangia shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto mmoja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania Health Summit yachangia shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto mmoja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/tanzania-health-summit-yachangia.html
0 Response to "Tanzania Health Summit yachangia shilingi milioni moja kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa mtoto mmoja"
Post a Comment