SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA

soma pia


SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na wataalam kutoka Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi, mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Mwakilishi katika bara la Afrika wa Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi Ndg. Manfred Lyoto (wa kwanza kushoto) akimuelezea Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai jinsi kampuni yao inavyofanya kazi walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
  Injinia Mwandamizi wa kampuni ya  Zhuzhou Locomotive ya nchini China Ndg. Peng Zhiliang (katikati) akimuonesha Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kulia) mfano wa kichwa cha treni ya mwendokasi wakati walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto ni mwakilishi wa kampuni hiyo barani Afrika Ndg. Manfred Lyoto
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na wataalam kutoka Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi,  mara baada ya kuzungumza nao mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wakwanza kulia ni Mhe. Stansalaus Mabula (Mb) ambaye alikuwa mwenyeji wa Wageni hao. PICHA NA BUNGE


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na_24.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA"

Post a Comment