title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) wa Wilaya ya Micheweni katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao leo katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao leo katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao leo katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu).
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_4.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba."
Post a Comment