title : RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA
RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipatiwa maelezo kutoka kwa msimamizi wa ukandarasi wa TBA juu ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipiga makofi baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah kwenye sherehe ya kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zwadi kutoa kwa Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018. Kulia ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Profesa Bonaventure Rutinwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA"
Post a Comment