title : NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU.
kiungo : NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU.
NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU.
Na Bashir Yakub.
Nakala ya hukumu ya mahakama huhitajika pale kesi au shauri linapokuwa limefika mwisho.
Kwa lugha nyingine maamuzi ya mahakama ndiyo hukumu ya mahakama. Hapa ndipo tunapojua nani ameshinda na nani ameshindwa.
Nani anastahili kulipwa au kukabidhiwa mali fulani na nani hastahili. Kadhalika nani anastahili kufungwa na nani anastahili kuachiwa huru. Yote haya na mengine mengi ndiyo yanayojenga kitu kinachoitwa hukumu.
1.UMUHIMU WA NAKALA YA HUKUMU.
Mara nyingi wale ambao hawakuridhishwa na maamuzi ya mahakama kwenye hukumu hutaka kukata rufaa. Rufaa ni malalamiko yanayopelekwa mahakama ya juu zaidi yakilalamikia hukumu au maamuzi yaliyotolewa na mahakama ya chini. Rufaa hufunguliwa na mtu ambaye hakuridhika na kile kilichoamuliwa. Kwahiyo hata wewe kama unayo kesi ambayo tayari imetolewa hukumu na hukuridhishwa na kile kilichoamuliwa basi unayo haki ya msingi ya kukata rufaa.
Na huna haja ya kuhofu kama unazo sababu za msingi na za kisheria. Waweza kuwa umeshindwa mahakama ya chini lakini ukaibuka mshindi mahakama ya juu ambako umekata rufaa.
Hata hivyo, huwezi kukata rufaa bila kuwa na nakala ya hukumu. Na hapa ndipo linapojitokeza suala la kupata nakala ya hukumu kwa wakati na bila kucheleweshwa. Narudia huwezi kukata rufaa ikiwa hujapata nakala ya hukumu kutoka mahakama iliyotoa uamuzi.
KUSOMA ZAIDI sheriayakub.blogspot.com
Hivyo makala NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU.
yaani makala yote NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/nini-ufanye-unapocheleweshwa-na-maafisa.html
0 Response to "NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU."
Post a Comment