MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU

MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU
kiungo : MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU

soma pia


MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA.

Mkazi wa Mtaa wa Nyerere A katika Kata ya Mabatini wilayani Nyamagana katika Jiji la Mwanza, Fred Kaseko (47) amepata msaada wa baiskeli ya miguu mitatu (wheel chair) itakayomsaidia kwa usafiri.

Kaseko alipata ulemavu wa miguu uliosababishwa na ajali ya gari miaka tisa iliyopita na kusababisha ashindwe kutembea baada ya miguu kukosa mawasiliano kutokana na neva za mgongo kuathiriwa.

Akipokea msaada huo jana uliotolewa na familia ya Mohamed Abass Mahamoud Abbas Mohamud Damji yenye asili ya Kiasia ya jijini Dar es Salaam,Kaseko alisema ameteseka kwa miaka tisa akitembea kwa kujivuta kwa kutumia mikono.

Alisema alipata ajali na taratibu miguu ilianza kupoteza uwezo wa kutembea wala kusimama na alipokwenda Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC) na kufanyiwa vipimo iligundulika kuwa disc za mgongo zilikuwa zimekandamiza mishipa ya fahamu baada ya kupata ajali.
 Fred Kaseko , mkazi wa Mtaa wa Nyerere A Mabatini kabla ya kupata msaada wa baiskeli ya miguu mitatu alikuwa akitambea kwa kutumia  mikono.
 Sheikh wa Bilal Muslimu Mission of Tanzania Hashim Ramadhan (kulia) akimkabidhi baiskeli ya miguu itatu Fred Kaseko.Nyuma ni familia ya Kaseko ambaye anasumbuliwa na miguu kupooza baada ya kupata ajali. Baiskeli hiyo imetolewa na familia ya Mohamed Abass Mahamoud Damji . Picha Na Baltazar Mashaka.




Hivyo makala MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU

yaani makala yote MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mkazi-wa-nyamagana-asaidiwa-baiskeli-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU"

Post a Comment