MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akijibu miongozo  mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Mhandisi Isaac Kamwelwe wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.
 Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Dk.Adelardus Kilangi wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.
 Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Charles Tizeba  akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Dk.Adelardus Kilangi akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.James Mbatia wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi.MAELEZO-DODOMA.


Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/matukio-mbalimbali-ya-bungeni-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment