MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU
kiungo : MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

soma pia


MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa vifaa vya  ujenzi vyenye thamani ya Sh.milioni 400 kutoka kiwanda cha MMI Steel ltd kwaajili ya kampeni ya ujenzi wa ofisi 402 za walimu Dar es salaam.

Vifaa alivyokabidhiwa ni Mabati 15,000 yenye thamani ya Sh.million 360, nondo tani 22 zenye thamani ya Sh.million 40 ambapo kiwanda hicho kimemuahidi tena kumpatia vifaa vingine ikiwemo rangi, nondo na mabati. 

Akipokea vifaa hivyo leo jijini Dar es Salaam, Makonda ameshukuru kiwanda cha MMI Steel chini ya Mkurugenzi wake Subhash Patel kwa kuwa mdau mkubwa wa kampeni ya ujenzi wa ofisi za walimu na kuwaomba wadau na wananchi kujitokeza kuchangia kampeni hiyo ili kutoa heshima kwa walimu. 

Aidha amesema kampeni ya ujezi wa ofisi za walimu inaendelea vizuri ambapo hivi karibuni atapokea kontena nyingine 16 za furniture kutoka Marekani, Kontena 10 za Vitabu kwaajili ya Maktaba ya jamii kutoka Marekani, Kontena 10 za vifaa tiba kutoka Uingereza na kontena 10 za Maziwa kutoka China kwaajili ya watoto waliojitokeza wakati wa mchakato wa kutafuta haki ya watoto waliotelekeza kama sehemu ya msaada.

Kwa upande wake Patel amesema wameamua kutoa vifaa hivyo kama sehemu ya kutambua umuhimu wa elimu na kuunga mkono jitiada za RC Makonda katika uboreahaji wa elimu kupitia mazingira bora ya walimu kufanya kazi.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa vifaa mablimbali  kwa ajili  ujenzi wa ofisi za Walimu na kiwanda cha MIN Steel vyenye thamani ya shilingi milioni mia nne.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, akiangalia mapati aliyo kabidhiwa na kiwanda cha MMI Siteel kwajili ya kuezekea ofisi za walimu.
 Mkuu wamkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda(katikati) akimshukuru  Mkurugenzi wa Kiwanda cha MMI Steel Ltd,Subhash Patel kwa kuwa mdau mkubwa wa kampeni ya ujenzi wa ofisi za walimu (kulia) Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam,Hamis Lissu.(Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii).


Hivyo makala MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

yaani makala yote MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/makonda-apokea-vifaa-vya-thamani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU"

Post a Comment