title : MAHAKAMA KUU YAZUIA MATUMIZI YA KANUNI ZA MTANDAO (ONLINE CONTENT REGULATION 2018) KWA MUDA
kiungo : MAHAKAMA KUU YAZUIA MATUMIZI YA KANUNI ZA MTANDAO (ONLINE CONTENT REGULATION 2018) KWA MUDA
MAHAKAMA KUU YAZUIA MATUMIZI YA KANUNI ZA MTANDAO (ONLINE CONTENT REGULATION 2018) KWA MUDA

Hakama Kuu Kanda ya Mtwara leo imetoa zuio la muda ( temporary injuction) linalozuia matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao (Online Content Regulation) ambazo matumizi yake yalipaswa kuanza rasmi Mei 5, 2018.
Mahakama imetoa zuio hilo baada ya taasisi sita kuwasilisha mahakamani maombi ya kuzia matumizi ya Kanuni hizo April 30, mwaka huu.
Taasisi zilizowasilisha maombi hayo mahakamani ni Legal and Human Rights Cente (LHRC), Tanzania Human Rights Defenders (THRD), Media Council of Tanzania (MCT), Jamii Media, Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Tanzania Editors Forum (TEF).
Taasisi hizo katika kesi ya msingi ya mapatio ya kanuni hizo (judicial review) zimewashitaki Waziri wa Habari, Tanzania Communication Authority (TCRA) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika maombi ya msingi taasisi hizo zinaiomba Mahakama Kuu kufanya mapitio ya kanuni hizo kwa kigezo kwamba:-
i) Waziri ametumia nguvu ya kisheria nje ya mamlaka yake ( Ultra vires)
ii) Zinakiuka kanuni za usawa (natural justice)
iii) Kanuni hizo zinapingana na haki ya kujieleza ( Freedom of exepression) haki ya kusikilizwa( rights to be heard) , na haki ya usiri ( Privacy rights)
Kesi ya msingi imepangwa kusikilizwa tarehe 10 may 2018.
Hivyo makala MAHAKAMA KUU YAZUIA MATUMIZI YA KANUNI ZA MTANDAO (ONLINE CONTENT REGULATION 2018) KWA MUDA
yaani makala yote MAHAKAMA KUU YAZUIA MATUMIZI YA KANUNI ZA MTANDAO (ONLINE CONTENT REGULATION 2018) KWA MUDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA KUU YAZUIA MATUMIZI YA KANUNI ZA MTANDAO (ONLINE CONTENT REGULATION 2018) KWA MUDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mahakama-kuu-yazuia-matumizi-ya-kanuni.html
0 Response to "MAHAKAMA KUU YAZUIA MATUMIZI YA KANUNI ZA MTANDAO (ONLINE CONTENT REGULATION 2018) KWA MUDA"
Post a Comment