MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR

MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR
kiungo : MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR

soma pia


MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi Hasina Tawfiqi akichangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.
 Mrakibu wa Polisi, Faidha Suleman kutoka Dawati la Jinsia na Watoto akiwasilisha mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Naibu Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo akichangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Henry Mwaibambe akichangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.
Mkuu wa Dawati la Jinsia na watoto, Naibu Kamishna wa Polisi, Maria Nzuki akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto (Picha na Jeshi la Polisi).


Hivyo makala MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR

yaani makala yote MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mafunzo-ya-kukabili-makosa-ya-kijinsia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR"

Post a Comment