KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI

KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI
kiungo : KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI

soma pia


KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamoto akizungumza kabla ya kukabidhi Mitaji na Vifaa vya Michezo kwa Vikundi vya Kinamama na Vijana vya Kata ya Vingunguti hili viweze kuchochea Maendeleo katika Kata hiyo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi Cuf kata ya Buguruni, Mbegu Simba akizungumza namna Diwani wa kata hiyo kwa tiketi ya chama chake anavyotekeleza ahadi alizoahaidi. 
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamoto akikabidhi zawadi ya jezi za Mpira wa Miguu kwa Mwanamuziki wa Singeli Nchini Msaga Sumu kwa ajili ya Timu ya Misosi inayoshiriki Ndondo Cup.
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamoto akikabidhi mizani ya kupimia mchele kwa Kikundi cha Vicoba cha wanawake kata ya Vingunguti.
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamoto akikabidhi mabirika na chupa kwa mmoja wa wadu wa kijiwe cha Kahawa katika kata ya Vingunti ambe msingi wake ulichukuliwa na maji.
 sehemu ya Wanawake wa Vikundi Mbalimbali wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamoto kwa ajili ya kupokea uwezeshwaji wa Maendeleo.


Hivyo makala KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI

yaani makala yote KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/kumbilamoto-achochea-maendeleo-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMBILAMOTO ACHOCHEA MAENDELEO KWA KUTOA MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA VINGUNGUTI"

Post a Comment