MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM
kiungo : MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

soma pia


MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii 
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi  (CUF) Maalim Seif Shariff Hamad amewasilisha barua ya pongezi kwa katibu mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Dk. Bashiru Ally aliyeteuliwa kuongoza chama Hicho. 
Barua hiyo ya Maalim Seif ambayo imewasilishwa na msaadizi wake Bw. Mbaralala Maharagande saa chache baada ya kumalizika kwa  shamrashamra za kukabidhiana ofisi baina ya aliyekuwa katibu mkuu aliyestaafu  Ndg. Abdulrahman Kinana kwenye ofisi ndogo za CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo. 
 Maharagande amesema kuwa Maalim Seif ameandika barua ya hiyo ya pongezi mara tu baada ya Dr. Bashiru kuteuliwa kuwa katibu Mkuu mpya wa CCM. 
 “Katibu mkuu wa chama chetu ameandika barua kumpongeza Dr Bashiru na kumpongeza Katibu Mkuu aliyestaafu Ndg. Abdulrahman Kinana kwa kuweza kuimarisha demokrasia ya vyama kwa kipindi chote alichokuwa akiongoza CCM kwa kujali maslahi ya nchi kwanza kuliko mambo binafsi”amesema Maharagande. 
Amesema Dr Bashiru ni moja ya wasomi watakaoleta mabadiliko katika mfumo huu wa vyama vingi licha ya kuwa si vyema kutabiri atakachokifanya kwani watu wajue tu kuwa kiongozi huyu ni mzalendo ambaye anaamini katika mabadiliko makubwa katika masuala ya kisiasa. 
Bw. Mbaralala Maharagande, ambaye ni Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi  (CUF) Maalim Seif Shariff Hamad, akitoka kuwasilisha barua ya pongezi kwa katibu mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.


Hivyo makala MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

yaani makala yote MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/maalim-seif-atuma-ujumbe-kumpongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM"

Post a Comment