KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA
kiungo : KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

soma pia


KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akipunga  mikono kuwaaga wafanyakazi na Viongozi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba mara baada ya kukabidhi ofisi kwa Katibu Mkuu mpya Dkt. Bashiru Aliy ambaye ameanza kazi rasmi leo.
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kukabidhi ofisi kwa katibu Mkuu mpya wa CCM.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi DK. Bashiru Ali akiwaeleza Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vipaumble vyake katika uongozi alioupata ndani ya CCM katika awamu hii ya tano .
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akiagana na baadhi ya Watendaji wa Chama Cha Mapindzui waliofika katika hafla ya kukabidhi Ofisi iliyofanyika  katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana, akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogoro mara baada ya kumaliza kukabidhi ofisi kwa katibu mkuu mpya .
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi waandamizi wa CCM Lumumba.


Hivyo makala KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA

yaani makala yote KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/kinana-akabidhi-rasmi-mikoba-kwa-dk.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA"

Post a Comment