KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000

KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000
kiungo : KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000

soma pia


KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000



Mkurugenzi wa Taasisi ya Abdulah Aid, Arif Y. Abdurrahimani, akizungumza na waandishi wa habari habari. 

Mwambawahabari
Na. John Luhende
Kamati ya  ya kutoa misaada ya kibinadamu iliyo undwa  na  mkuu wa mkoa wa Dar es salaa mhe . Paul Makonda  kwaajili ya kutoa  msaa kwa waathirika wa mafuriko mkoa wa Dar es salaam , imesema imekamilisha shugulihiyo.

Akizungumza na wanahabari  mwenyekiti wa  kamati hiyo Ubaya Chuma  amesema  waathika wote walikuwa wametambuliwa wamefikiwa na misaada mbambali mbali ya kibina adamu ikiwemo kupatiwa Magodoro, vyakula  mbalimbali kama Maharage , Mchele,Unga wa ngano na mahindi.  Sukari na mafuta ya kupikia.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Abdulah Aid, Arif Y. Abdurrahimani ameseama katika kuwapatia watu hao misaada taasisi mbalimbali zimeshiriki ikiwemo, Taasisi ya  Miraji Islamic Center ya Zanzibar , Taasisi ya Abdulla AID  na taasisi yake ,amesema wamefurahishwa  na huduma  na wameweza kuzifikia  kuzifikia  familia 600kutoka maeneo mbalimbali katika mkoa wa Dar es Salaam.

Akisoma taarifa ya kamati hiyo George Shinga Mtambalike amesema wa  Jumla  na thamani ya vitu walizotoa ni pamoja na  kilo 2400 za mchele,kilo 360 za Sukari, Mafuta ya kupikia Lita 600,kilo 600 za Maharagwe na kilio600 za Unga wa mahindi.

Aidha amesema misaada mingine iliyo tolewa ni pamaoja  na Magodoro 490, mito ya kulalia 490 ,Mashuka 490 pamoja na Net za Mbu.



Hivyo makala KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000

yaani makala yote KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/kamati-ya-mafuriko-dar-yawafikia-zaidi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMATI YA MAFURIKO DAR YAWAFIKIA ZAIDI YA WAATHIRIKA 6000"

Post a Comment