title : Ilala afungia DECI ya NAMAINGO kwakudaiwa kutapeli wananchi
kiungo : Ilala afungia DECI ya NAMAINGO kwakudaiwa kutapeli wananchi
Ilala afungia DECI ya NAMAINGO kwakudaiwa kutapeli wananchi
Mwambawahabari
MKUU wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema Leo ameagiza kufungwa rasmi uendeshaji wa shughuli za Kampuni ya NAMAINGO Business Agency(Mwamvuli wa Ukweli).kwa kudaiwa kutapeli zaidi ya shilingi bilioni 1.5 walizokuwa wakiweka hisa wanachama zaidi ya 4000.
"Naomba Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala Kumtafuta mmiliki wa Kampuni Namaingo kumkamata mara moja kisha kufanya uchunguzi mara baada upelelezi kukamilika
apelekwe mahakamani "alisema Mjema
Sophia Mjema pia aliagiza pia Akaunti zote za benki zifungwe ambapo inadaiwa toka aanze kutoa huduma mpaka sasa amekusanya fedha za wananchi walizokuwa wakipanda samaki kama Vicoba ni sh, bilioni 1.5.
Alisema kuwa kila mwaka inadaiwa wananchi walikuwa wakipanda samaki kampuni hiyo inakusanya
Sh, milioni 14 nyuki milioni nane na ada za wanachama.
Aliagiza kama kuna taasisi zingine ambazo zinaendesha huduma kama hiyo kuacha mara moja wasishawishike.
Aidha kama zipo mtaani kuzitaja ili Serikali ianze kuzifuatilia zikibainika zifungwe.
Kwa upande wa mmoja wa mwanachama waliotapeliwa jina linaifadhiwa alisema gharama za kujiunga uanachama walikuwa wakilipa sh, milioni 1 hadi sh, 600,000 inawanachama mbalimbali wakiwemo Watumishi wa Serikali.
Hivyo makala Ilala afungia DECI ya NAMAINGO kwakudaiwa kutapeli wananchi
yaani makala yote Ilala afungia DECI ya NAMAINGO kwakudaiwa kutapeli wananchi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ilala afungia DECI ya NAMAINGO kwakudaiwa kutapeli wananchi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/ilala-afungia-deci-ya-namaingo.html
0 Response to "Ilala afungia DECI ya NAMAINGO kwakudaiwa kutapeli wananchi"
Post a Comment