DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO

DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO
kiungo : DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO

soma pia

DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO

Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye, Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na wananchi wa kata ya Nkimiziwa jimboni humo aliposhiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora juzi. Akiwa jimboni humo alitembelea pia kata ya Ndala ambapo alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi.
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi na viongozi wa chama na Serikali wa kata ya Nkimiziwa jimboni humo aliposhiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora juzi ambapo aliwataka viongozi wa chama na Serikali ngazi ya vijiji, kata, wilaya hadi mkoa kuwasilisha kwake kero za wananchi wa jimbo lake ili aweze kuzitafutia ufumbuzi.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye, Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki kwenye maandamano na wananchi, viongozi wa chama na Serikali wa kata ya Nkimiziwa jimboni humo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora juzi.

Hivyo makala DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO

yaani makala yote DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/dk-kigwangalla-asema-na-wananchi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK. KIGWANGALLA ASEMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZAO"

Post a Comment