BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO

BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO
kiungo : BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO

soma pia


BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
MWENYEKITI wa Baraza la Wafanyakazi wa Tasisi ya Elimu ya Watu Wazima Dk.Kassim Nihuka amesema pamoja na mafanikio ambayo imeyapata taasisi hiyo bado wangepata mafaniko makubwa zaidi iwapo changamoto zinazowakabili ikiwamo ya uhaba wa watumishi pamoja na miundombinu ingekuwa imepata ufumbuzi wake huku akifafanua tayari wameweka mikakati ya kuhakikisha wanaondoa changamoto hizo.

Dk. Nihuka ametoa kauli wakati anazungumza kwenye Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima uliofanyika leo ambapo mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mbando.

Akizungumza kwenye hotuba yake kwa mgeni rasmi ,Dk.Nihuka amesema mafanikio hayo huenda yangekuwa makubwa na mengi zaidi kama siyo changamoto mbalimbali zinazowakabili zikiwamo za ukosefu wa ofisi za kudumu  katika baadhi ya mikoa, upungufu wa wafanyakazi kutokana na kustaafu na vifo pamoja na
upungufu wa fedha za ndani.

Pia amesema ili kuendana na na msimamo wa Serikali wa Awamu ya Tano ,Menejimenti ya taasisi hiyo imedhamiria kuimarisha ukusanyaji wa mapato pamoja na kuhakikisha yanaenaelekezwa  katika kutekeleza malengo ya kipaumbele  kadiri ya mpango kazi wa taasisi na ule wa vituo,kampasi,idara na vitengo kwa ujumla.

"Katika kutekeleza hili wakufunzi wakazi, wakuu wa kampasi na mkuu wa idara ya mafunzo yanaagizwa kusimamia ukusanyaji wa ada kwa umakini mkubwa pamoja na kuhakikisha wanafunzi wale tu waliolipa ada ndio wanasajiliwa na kupata huduma katika vituo vyote,"amesema Dk.Nihuka.
 Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dk.Kassimu Nihuka akizungumza kuhusu mafanikio na changamoto mbele ya wajumbe wa baraza hilo waliokutana leo jijini Dar es Salaam.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando akizungumza leo wakati akifungua rasmi Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima wakishiriki mkutano huo leo jijini Dar es Salaam

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO

yaani makala yote BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/baraza-la-wafanyakazi-taasisi-ya-elimu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO"

Post a Comment