WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO..

WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO.. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO.., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO..
kiungo : WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO..

soma pia


WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO..



Mwamba wa habari
Maelfu ya Wanawake waliotelekezwa na waume zao na hawapatiwi fedha ya matunzo ya Mtoto leo wamefurika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa ajili ya kupatiwa Msaada wa kisheria chini ya wataalamu makini wakiwemo wanasheria, maafisa ustawi wa jamii, Jeshi la Polisi Dawati Jinsia na Ofisi ya Mkemia mkuu wa serikali.
Akizungumza na kinamama hao RC Makonda amesema Zoezi hilo litaendeshwa kwa muda wa siku tano ilikuhakikisha kila mwanamke anaefika ofisini kwake anasikilizwa kwa umakini na mwisho wa siku atendewe haki pasipo kuvunja Sheria.
RC Makonda amesema ongezeko la Watoto wa Mitaani, Wizi,Utoaji Mimba, Mmomonyoko wa maadili na ugonjwa wa Ukimwi ni matokeo ya  kutetereka kwa misingi ya familia hivyo ameamua kuanzisha zoezi hilo kwa lengo la kujenga Taifa bora.
Aidha RC Makonda amesema atahakikisha Mwanaume yoyote aliemzalisha mwanamke na kumtelekeza anatafutwa popote alipo ili aweze kutoa matunzo ya mtoto ili mwisho wa siku mtoto afurahie fursa ya Elimu Bure.
Pamoja na hayo RC Makonda amewataka pia Wanaume walioachiwa watoto wafike ofisini kwake ili wapatiwe msaada wa kisheria.


Hivyo makala WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO..

yaani makala yote WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO.. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO.. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wanawake-na-watoto-wao-walio-telekezwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANAWAKE NA WATOTO WAO WALIO TELEKEZWA NA WAZAZI WENZAO WAFURIKA OFISI YA MKUU WA MKOA DSM KUSAKA HAKIZAO.."

Post a Comment