Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo

Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo
kiungo : Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo

soma pia


Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa kuleuliwa, Salma Kikwete, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jaffo, akizungumza na Waziri wa Madini, Angela Kairuki, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Joseph Kakunda, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mbunge wa kuteuliwa, Salma Kikwete, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 9, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 9, 2018, katikati ni Mbunge wa jimbo la Tarime Bw. John Heche.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Tarime Bw. John Heche, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Hivyo makala Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo

yaani makala yote Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/bungeni-taswira-mbalimbali-kutoka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Bungeni : Taswira Mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma leo"

Post a Comment