title : WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE UHITAJI
kiungo : WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE UHITAJI
WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE UHITAJI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA), wameshiriki kuchangia damu kwa lengo la kusaidia wenye uhitaji wa damu nchini ili kunusuru maisha yao.
Tukio hilo la wafanyakazi hao kuchangia damu limefanyika leo kwenye moja ya viwanja vyao vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa uchangiaji damu katika Maadhimisho ya 13 tangu kuanzishwa TPA, Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Bandari (Dowuta), Mashaka Karume amesema maadhimisho hayo ni daraja la kuwakutanisha wao na jamii kwa kutoa msaada sehemu mbalimbali likiwemo hilo la kuchangia damu.
Karume amesema maadhimisho ya hayo ni sehemu ya kukutana na menejimenti nje ya kufanya kazi lakini tunashirikiana katika masuala ya kijamii.
"Maadhimisho ya miaka 13 tangu kuanzishwa kwa mamlaka ya bandari kama wafanyakazi tunaona mafanikio ambayo ni pamoja na mamlaka kushiriki kutoa msaada pamoja na hili la uchangiaji damu,"amesema Karume
Wafanyakazi wa TPA wakijiandaa katika uchangiaji damu katika viwanja vya bandari ikiwa ni maadhimisho ya miaka 13 tangu kuanzishwa mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafayakazi wa Bandari, Mashaka Karume akizungumza na waandishi habari kuhusiana na uchangiaji damu katika maadhimisho ya miaka 13 tangu kuanzishwa mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafayakazi wa Bandari, Mashaka Karume akiwa katika picha pamoja na wafanyakazi wa mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE UHITAJI
yaani makala yote WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE UHITAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE UHITAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wafanyakazi-tpa-watumia-maadhimisho-yao.html
0 Response to "WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE UHITAJI"
Post a Comment