title : TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI
kiungo : TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI
TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI
Makamu wa Rais wa TRANSSION HOLDING ambayo ni kampuni mama ya TECNO, Andy VAN (Katikati)akizungumza na wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Tecno ambayo ni Tecno CAMON X yenye 20MP SELFIE,mfumo mpya wa Android 8.1 Oreo na Hios ya 3.3.
Makamu wa Rais wa TRANSSION HOLDING ambayo ni kampuni mama ya TECNO, Andy VAN (Wapili kutoka kushoto) wakionesha simu aina ya Tecno CAMON X yenye 20MP SELFIE,mfumo mpya wa Android 8.1 Oreo na Hios ya 3.3 mara baada ya kuzindua simu hiyo.
KAMPUNI ya simu za mkononi inayofanya vizuri barani Afrika inaendelea kutanua soko lake baada ya kuzindua simu mpya TECNO CAMON X yenye 20MP SELFIE,mfumo mpya wa Android 8.1 Oreo na Hios ya 3.3, ikiwa ni muendelezo wa toleo la ‘TECNO CAMON’ iliyozinduliwa nchini NIGERIA (LAGOSI), Tarehe 5/4/2018.
Katika uzinduzi huo TECNO imejihakikishia uzalishaji na usambazaji wa simu zenye technolojia na ubora zaidi katika masoko zaidi ya 40 hasa katika nchi za Afrika. Kampuni ya simu ya TECNO hivi karibuni imeweza kuingia mkataba na moja kati ya kampuni bora katika upande wa mitandao (GOOGLE) iliyozindua mfumo mpya ya uendeshaji wa simu za mkononi Android 8.0Oreo (Go edition), utakaotumika katika matoleo yote ya TECNO kwa ndani ya mwaka 2018.
Akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi Makamu wa Rais wa TRANSSION HOLDING Sambayo ni kampuni mama ya TECNO, Bwana Andy VAN amesema, “TECNO haizalishi simu kwa kuzingatia maoni ya wafanyakazi wetu tu, ila kampuni inazingatia zaidi ushauri na maoni ya watumiaji ili kuwapatia kilichobora zaidi ukilinganisha na zilizopita”.
Hivyo makala TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI
yaani makala yote TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/tecno-camon-x-na-x-pro-zatambulishwa.html
0 Response to "TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI"
Post a Comment