title : RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA
kiungo : RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA
RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue (katikati) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo,Picha na Ikulu
Hivyo makala RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA
yaani makala yote RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-dkshein-apokea-ujumbe-kampuni-ya.html
0 Response to "RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA"
Post a Comment