title : Rais Dk Shein akutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation kutoka China
kiungo : Rais Dk Shein akutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation kutoka China
Rais Dk Shein akutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation kutoka China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka China Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka China Bw.Zhou Junxue (katikati) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 09/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka China Bw. Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo,[Picha na Ikulu] 09/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo,[Picha na Ikulu] 09/04/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation kutoka China
yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation kutoka China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation kutoka China mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-dk-shein-akutana-na-mwenyekiti-wa.html
0 Response to "Rais Dk Shein akutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation kutoka China"
Post a Comment