title : Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja
kiungo : Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja
Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiangalia huduma mbalimbali zilizokua zikitolewa kituoni hapo.
MWAKILISHI wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO Dkt Ghirmay Andemichael akizungumza katika maadhimisho hayo
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiwahutubia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho hayo yaliofanyika katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Licha ya mvua iliokua ikiendelea kunyesha Waandishi wa Habari hawakua nyuma kuchukua habari katika maadhimisho hayo.
MKUU wa Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja Hassan Ali Kombo akitoa shukurani kwa Wizara ya Afya Zanzibar ilivyo ichagua Wilaya yake Kufanya maadhimisho ya mwaka huu.
KIKUNDI cha Wasani cha TUKIKIZA cha Magomeni Zanzibar kikitoa burudani mbalimbali katika shamra shamra za sherehe za maadhimisho ya 70 ya siku ya Afya Duniani zilizofanyika katika kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiwaongoza viongozi mbalimbali kuangalia burudani zilizokua zikitolewa na wasanii wa kikundi cha TUKIKIZA cha Magomeni Zanzibar.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed watatu kutoka kushoto akipiga picha ya pamoja na wageni mbalimbali.
(Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).
Hivyo makala Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja
yaani makala yote Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/maadhimisho-ya-siku-ya-afya-duniani.html
0 Response to "Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja"
Post a Comment