MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR.

MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR.
kiungo : MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR.

soma pia


MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini  CUF Mussa Haji Kombo katikati akifafanua baadhi ya maswala mbalimbali ya Mwenendo na Migogoro ndani ya  chama hicho kwa  Waandishi wa Habari  Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.kulia yake ni Kiongozi wa Ulinzi wa CUF Thney Juma na Kushoto ni  Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini  CUF Mussa Haji Kombo akizungumza na Waandishi wa Habari   kuhusiana na mwenendo na migogoro ndani ya Chama hicho Mkutano uliofanyika   katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.
Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame akitoa maelezo kuhusiana na Mkutano  na kumkaribisha Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini  CUF Mussa Haji Kombo kuzungumza na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.


Hivyo makala MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR.

yaani makala yote MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mkutano-wa-chama-cha-wananchi-cuf-na_12.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR."

Post a Comment