MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA
kiungo : MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

soma pia


MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

 Mtendaji mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA, Dkt. Mussa Mgwatu akisoma taarifa kwa mgeni rasmi, wajumbe na watendaji hawapo pichani wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Mt. Depot jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Uendeshaji wa wakala huo Hans Lyimo, Mkurugenzi wa Huduma za  ufundi sekta ya ujenzi Mhandisi William Nshama na Afisa Rasilimali watu kutoka wakala huo Evarista Asenga.
 Mkurugenzi wa Huduma za ufundi sekta ya ujenzi, Mhandisi William Nshama akizungumza wakati akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi TEMESA na wajumbe na baadhi ya watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA hawapo pichani katika kikao cha baraza la wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Mt. Depot Keko jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mtendaji mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Uendeshaji wa wakala huo Hans Lyimo.
 Naibu katibu mkuu wa TUGHE Taifa Mhandisi Amani Msuya kulia akiimba wimbo wa wafanyakazi mshikamano daima pamoja na Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Ferdinand Mishamo wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Mt. Depot jijini Dar es Salaam. 
 Naibu katibu mkuu wa TUGHE Taifa Mhandisi Amani Msuya akifafanua jambo kwa wajumbe na baadhi ya wafanyakazi wa wakala hawapo pichani wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA kilichofanyika katika ukumbi wa Mt. Depot Keko jijini Dar es Salaam. 
 Baadhi ya wajumbe, mameneja na watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA waliohudhuria kikao cha Baraza la wafanyakazi TEMESA wakisikiliza kwa umakini mada zilizokuwa zikitolewa katika kikao hicho cha baraza kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Mt Depot Keko jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za ufundi sekta ya ujenzi Mhandisi William Nshama katikati akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA mara baada ya kuzindua na kufungua mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano Mt Depot Keko jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO TEMESA


Hivyo makala MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

yaani makala yote MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mkurugenzi-huduma-za-ufundi-sekta-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA"

Post a Comment