title : MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO
kiungo : MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO
MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akipongezana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Ofisi hiyo Aprili 10, 2018.
Makatibu Wakuu Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia hoja za Wabunge zinazohusu ofisi hao wakati wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha za Ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Bungeni Dodoma, wa kwanza ni Bw.Erick Shitindi anayeshungulikia Kazi,Ajira, Vijana na wenye ulemavu, kulia kwake ni Prof.Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) kulia kwake ni Bi.Maimuna Tarishi (Bunge na Waziri Mkuu).
Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia hoja za wabunge kuhusu ofisi yao wakati wa kujadili na kupitisha Bajeti hiyo kwa mwaka wa Fedha 2018/2019.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde akipongezana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt.Irene Isaka mara baada ya Bunge kupitisha bajeti Ofisi hiyo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi akiteta jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Bunge na Siasa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Yona Mwakilembe Bungeni Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO
yaani makala yote MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/matukio-ya-ofisi-ya-waziri-mkuu-baada.html
0 Response to "MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO"
Post a Comment