LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21

LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21
kiungo : LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21

soma pia


LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21

Na Zainab Nyamka, Globu ya  jamii

LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara hatua ya Nane bora inatarajia kuendelea Jumapili Aprili 21 kwenye viwanja tofauti.

Hatua hiyo ya Nane bora ambayo ilisimama kupisha maandalizi ya timu ya Taifa ya Wanawake(Twiga Stars) iliyokuwa kambini kujiandaa na mchezo wake wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake itaendelea katika mzunguko wa Tano.

Pia hatua ya nane bora inachezwa kwa mtindo wa nyumbani na ugenini ikishirikisha timu za Panama FC ya Iringa inayotumia Uwanja wa Samora, Evergreen Queens ya Dar es Salaam inayotumia Uwanja wa Karume, JKT Queens ya Dar es Salaam wanaotumia Uwanja wa Mbweni na Alliance ya Mwanza wanaotumia Uwanja wa Nyamagana.

Timu nyingine ni mabingwa watetezi Mlandizi Queens ya Pwani wanaotumia Uwanja wa Mabatini,Baobab ya Dodoma wanaotumia Uwanja wa Jamhuri Dodoma,Kigoma Sisters ya Kigoma wanaotumia Uwanja wa Lake Tanganyika na Simba Queens wanaotumia Uwanja wa Karume.

Huu ni msimu wa pili wa Ligi ya Wanawake kuchezwa ambapo katika msimu wake wa kwanza timu ya Mlandizi Queens ndio waliibuka na ubingwa.


Hivyo makala LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21

yaani makala yote LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/ligi-kuu-wanawake-bara-hatua-ya-nane.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21"

Post a Comment