title : KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
kiungo : KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua ( kulia) akiongoza kikao kilichokutanisha wadau wa maendeleo na Wizara ya Nishati katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2017.
Sehemu ya washiriki wa kikao hicho wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani)
Wataalam wa Idara ya Nishati, wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani)
Hivyo makala KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
yaani makala yote KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/katibu-mkuu-nishati-akutana-na-wadau-wa.html
0 Response to "KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO"
Post a Comment