AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
kiungo : AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

soma pia


AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linapenda kutoa taarifa kwa umma kufuatia tukio la moto kwenye ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililotokea mnamo tarehe 09 Aprili, 2018 majira ya saa 1:28 usiku mkoani Dodoma.

Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa moto huo ulisababishwa na shoti iliyotokana na Power bank iliyokuwa inatumiwa kuchaji simu. Shoti hiyo ilisababisha kuungua kwa simu, Power bank, sehemu ya meza na kapeti kitendo kilicholeta moshi mkubwa na taharuki miongoni mwa Wabunge. Ukiachilia mbali taharuki kwa Waheshimiwa Wabunge hakuna madhara kwa binadamu yaliyotokana na moto huo.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anatoa rai kwa Watanzania wote kuchukua tahadhari kubwa hasa wanapokua wanatumia vifaa vya kieletroniki ambavyo kwa sasa vipo katika matumizi hadi katika ngazi ya familia. Moto huzuka tu endapo kitapatikana chakula cha moto, joto la kutosha na hewa ya oksijeni (fuel, heat and oxygen).

Sambamba na hayo Kamishna Jenerali anahimiza uzingatiaji wa kinga na tahadhari ya moto katika maeneo yote. Wamiliki wa maeneo ya umma, binafsi na biashara wanapaswa kufunga vizimia moto kwa kuzingatia ushauri unaotolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lipo imara na litaendelea kuwaelimisha Watanzania kuzingatia kinga na tahadhari ya moto ili kuhakikisha maisha na mali vinakuwa salama. Imetolewa na;

CGF. Thobias Andengenye
Kamishna Jenerali
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
10 Aprili, 2018


Hivyo makala AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

yaani makala yote AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/aarifa-ya-jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO KWENYE UKUMBI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA"

Post a Comment