title : WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA
kiungo : WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA
WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage jana tarehe 6 Machi, 2018 amekabidhi eneo lenye ukubwa wa hekari 200 kwa mkandarasi SUMA JKT ambaye atakuwa na kazi ya kufanya leveling kwa ajili ya ujenzi wa sheds kwa Viwanda Vikubwa na vya kati.
Katika eneo hilo la TAMCO Kibaha vitajengwa Viwanda vya nguo, Viwanda vya madawa ya binadamu na Wanyama, Viwanda vya kuunganisha magari na mitambo kama matrekta, ili kuongeza ajira kwa watanzania.
Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA
yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/waziri-mwijage-afanya-ziara-kibaha.html
0 Response to "WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA"
Post a Comment